Ngiama makanda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,552
- 2,741
Lita kufa jitu leo🔰🔰🔰🔰🔰 daima mbele
wanasemaga radi na rangi nyekundu ni marafiki😅US MONASTIR NA MVUA NI DAMU DAMU[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1249][emoji1249][emoji1249][emoji1249][emoji1249][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Li jitu ilo.View attachment 2557878
Anaitwa ANTONY OKPOTU anafunga akiwa benchi kacheza Southampton kacheza Sevilla
Mechi 7 magoli 26 assist 40
Ndugu zangu wananchi tusiende uwanjani
Ila wewe huwa una maneno sana,[emoji1]Naona umeamua kuwasaidia maana hawajiwezi hata kupiga mswaki...imajin hawajafungwa waoo..
Liwapate lile mlilojiandaaa nalo...
Sio rahisi hivyo, hela zimelala nyingi sana kufanikisha hii game.Mechi inaahirishwa. .mvua kubwa sn mjini
😆 😆 😆 😆 😆 😆Ila wewe huwa una maneno sana,[emoji1]
Hakuna kuhairisha mechi kirahisi hivyoMvua iliyopo Dar ni kubwa sana, hiyo mechi ihairishwe tu...
Hakuna kuhairisha mechi kirahisi hivyo
Ile mechi waliyocheza na kule mwanza uwanja ulikuwa una maji halafu pitch mbovu na wakashinda.
Waliooshinda wakawa wanapiga kelele kuwa kikosi chao kinacheza katika mazingira yeyote
So sioni excuse ya maana ya kuhairisha mechi
Nimemuuliza meneja wao anasema kila kitu kitakua sawa. Ngoja tuone.Wawe na bahati tu walau mvua ikate mapema halafu mashabiki wapate fursa ya kujitokeza kwa wingi uwanjani
CAF wakiona mazingira sio rafiki wataahirisha kwa vigezo vyao wanavyo vijuaMwenye kuamua game kuahirishwa ni CAF...