FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

taarifa kutoka kambi ya monastri ni kwamba wameshitushwa sana na kipigo kilichowapata horoya hapo jana, hivyo basi hawako tayari kufungwa kwa namna yoyote ile ili kulitia aibu taifa lao, ..Tunisia kwanza mambo mengine baadae
 
Mvua iliyopo Dar ni kubwa sana, hiyo mechi ihairishwe tu...
Hakuna kuhairisha mechi kirahisi hivyo

Ile mechi waliyocheza kule mwanza uwanja ulikuwa una maji halafu pitch mbovu na wakashinda.

Waliovoshinda wakawa wanapiga kelele kuwa kikosi chao kinacheza katika mazingira yeyote

So sioni excuse ya maana ya kuhairisha mechi
 
Uzalendo mwisho timu ya TAIFA TU
kila la kheri US MONASTIR timu yangu pendwa toka sijazaliwa [emoji91][emoji91][emoji91][emoji1249][emoji1249][emoji1249][emoji1249][emoji1249][emoji1249]
 
Hakuna kuhairisha mechi kirahisi hivyo

Ile mechi waliyocheza na kule mwanza uwanja ulikuwa una maji halafu pitch mbovu na wakashinda.

Waliooshinda wakawa wanapiga kelele kuwa kikosi chao kinacheza katika mazingira yeyote

So sioni excuse ya maana ya kuhairisha mechi

Mwenye kuamua game kuahirishwa ni CAF...
 
IMG_5354.jpg

Anaitwa habiby de souza dinho ana asili ya Brazil kacheza na VINI jr alipiga chenga mpka refa ndyo akaletwa Africa
Mechi 20 assist 80 alifunga goli kimara to dodoma

Bangala anamjua
US MONASTIR DAMU[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji1249][emoji1249][emoji1249][emoji1249][emoji1249]
 
Back
Top Bottom