FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

Sisi ndio Yangaa💚💛
Screenshot_20230320_014948_Audiomack.jpg
 
Mpira Umekwisha (FULL TIME) HAPA BENJAMIN MKAPA STADIUM


Yanga 2 Monastir 0

Yanga hatimaye wamefuzu Robo fainali ya kombe la Shirikisho Africa 2022/2023
 
Kamba azizi ki anaingia dk za majeruhi
Huyu jamaa alikuja akipewa sifa kubwa sana ambazo zilimuweka katika wakati mgumu kwasababu wadau walikuwa wanataka kumlinganisha na Chama

Na yeye alitaka kupita na trend hiyo kuwathibitishia watu kuwa kweli yeye ni bora kuliko Chama mwisho wa siku amejikuta yupo kwenye pressure kubwa
 
Back
Top Bottom