FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

FT: Yanga SC 2-0 US Monastir | CAFCC | Benjamin Mkapa | 19.03.2023

Yanga msiji sahaulishe hilo ni kombe la mbuzi, hivyo record yenu ya kukaa miongo na miongo bila kuingia makundi champions league bado ipo palepale
 
Yanga kaingia robo fainali yani ni kama hamna kilichotokea, kimya watu bado wapo bize na ushindi wa jana,, ushindi mkubwa dhidi ya timu kubwa kwenye mashindano makubwa ya caf champions league,, ushindi wa kihistoria kwenye mechi yenye kuamua hatma. Anyways hongereni ila kwanini hamtaki kutuelewesha, sisi tunaitambua champions league pekee nyie wenzetu huko kwingine mnashirikishana nini ??
Cha ajabu wewe unapost na kuiongelea Yanga au ww umeamua kuwa busy na ushindi wa Yanga.
 
Sawa
Mnaharibu Jamii forum.

Mnaharibu mpira.

FIFA KUNA KAULI MBIU YA FAIR PLAY.

mpira sio matusi Wala kutukanana.

Mmefika Robo Fainali umeambilia nini??????...

WATOTO WA MATAJIRI WANAANDALIWA NAFASI NYINYI MNAZIDI KUBISHANA SIMBA NA YANGA.

AIBU KUBWA SANA
Sawa mtoto wa tajiri una nafasi ngapi Hadi Sasa😁
 
Yanga kaingia robo fainali yani ni kama hamna kilichotokea, kimya watu bado wapo bize na ushindi wa jana,, ushindi mkubwa dhidi ya timu kubwa kwenye mashindano makubwa ya caf champions league,, ushindi wa kihistoria kwenye mechi yenye kuamua hatma. Anyways hongereni ila kwanini hamtaki kutuelewesha, sisi tunaitambua champions league pekee nyie wenzetu huko kwingine mnashirikishana nini ??
Ukitaka nikujibu Hilo swalinna miye nijibu moja tu:mna kombe lolote huko CC au CL!?
 
Back
Top Bottom