FT: Yanga SC 2-0 Wiliete | CAFCL | Second Preliminary Round | Second Leg | Mkapa Stadium | 27/09/2025

FT: Yanga SC 2-0 Wiliete | CAFCL | Second Preliminary Round | Second Leg | Mkapa Stadium | 27/09/2025

DonDonald

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
2,548
Reaction score
2,755
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya CAFCL, Young Africans (Yanga) jioni ya leo wanaingia uwanjani kukipiga na Timu ya Wiliete kutoka Angola katika mechi ya marudiano.

Katika mechi ya kwanza iliyofanyika Angola, Yanga walitoka na ushindi wa goli 3-0 dhidi ya wawakilishi hao wa Angola

Je leo matokeo yatakuwaje?
 
Leo
Yanga husband of simba 4
Banguela 0

Kouma akianza, andambwile na doumbia kisha mbele Dube au boyeli

Hapa hata 5 wanakula
 
Kikosi cha leo ni hiki hapa (kwa wale tu ndugu zetu ambao hawaangalii live kupiti luninga);
1. Djugui Diarra
2. Kibwana Shomary
3. Chadrack Boka
4. Ibrahim Bacca
5. Dickson Job
6. Aziz Andabwile
7. Max Nzengeli
8. Duke Abuya
9. Prince Dube
10. Mudathir Yahya
11. Pacome Zouzoua

Sub: Offen Chikora, Abutwalib Mshery, Edmund John, Andy Boyelli, Israel Mwenda, Musa Balla Conte, Lassine Kouma, Farid Musa, nk.
 
Baada ya ushindi kijiwe ni wapi tukamwagilie moyo tuwaalike na ndugu zetu mikia tuwapoze kidogo.
 
Back
Top Bottom