FT: Yanga SC 2-0 Wiliete | CAFCL | Second Preliminary Round | Second Leg | Mkapa Stadium | 27/09/2025

FT: Yanga SC 2-0 Wiliete | CAFCL | Second Preliminary Round | Second Leg | Mkapa Stadium | 27/09/2025

Nabi alipewa muda kwasababu alikuwa ana tengeneza timu, huyu kakuta wachezaji bora lakini timu inacheza vibaya mno.
Hajawasajili yeye kawakuta...giyo combination na kemia ipo ? Muda gani ita balamce??
 
Hajawasajili yeye kawakuta...giyo combination na kemia ipo ? Muda gani ita balamce??
Nabi hata wakati watu wanampa muda, tulikuwa tunaona mabadiliko chanya ya uchezaji wa timu bila kujali ni matokeo yapi timu inapata. Sasa huyu kadri Yanga inavyocheza ndipo inavyozidi kushuka ubora na kucheza mpira wa hovyo. Ubora wa mchezaji mmoja mmoja ndiyo inayoipa Yanga matokeo
 
Back
Top Bottom