FT: Yanga SC 2-0 Wiliete | CAFCL | Second Preliminary Round | Second Leg | Mkapa Stadium | 27/09/2025

Huyu SQUID maqudubela Yuko from vibaya mno
 
Yanga tutafute kocha huyu jamaa ni kama vile yuko field
Mwache kijana wetu anafanya experiment ya wachezaji na mfumo kwa ujumla.

Ila kumtetea Roman Folz wakati mwingine inahitaji mtu kujitoa ufahamu. Kama hiki kikosi alicho anza nacho leo, kwa kweli ni mvurugano tu. Yaani wageni ndiyo wamefanya attemots nyingi za maana kuliko wenyeji!! Hii haijakaa sawa hata kidogo.
 
Inasikitisha sana
 
Huyu tumeshamkatia tamaa muda mrefu sana ila Tate Mkuu ana mkingia kifua
Huyu kocha muda si mrefu nitaacha kumkingia kifua. Maana mifumo yake mingine hata haieleweki! Mfano mechi ya leo amejaza viungo watatu wanaocheza mpira wa aina moja (Aziz Andabwile, Duke Abuya, ma Mudathir Yahya!)

Mwisho wa siku timu imekosa balance na muunganiko! Kumtetea Romain Folz kunahitajo mtu kujitoa ufahamu! Na mimi hili jambo siliwezi aisee.
 
Nyie mnaemtetea tutawahesabu kama wahujumu timu.
Kwa kocha huyu, natabiri tutamaliza nafasi ya tano ligi kuu
 
Hatutengenezi nafasi za kueleweka, predictable passes nyingi, hakuna style of play, wachezaji wa kawaida wengi wameanza, kiungo hovyo n.k

Mwaka wa tabu huu.
Lawama zote ziende kwa uongozi. Walitakiwa wabakie na Miloud Hamdi. Na kama aliamua mwenyewe kuondoka, walitakiwa wamchukue kocha mwenye CV kubwa na ya kueleweka! Badala ya kuajiri makocha wa majaribio kama hawa akina Romain Folz.

Yanga ni timu kubwa kwa sasa! Inakuwaje uongozi unamuajiri kocha ambaye maeneo mengi aliyopita alikuwa ni kocha msaidizi!
 
Nyie mnaemtetea tutawahesabu kama wahujumu timu.
Kwa kocha huyu, natabiri tutamaliza nafasi ya tano ligi kuu
Mimi kuanzia leo najitoa kwenye kumtetea huyu kocha Romain Folz! Kwa mpira huu mbovu unaochezwa na Yanga, kwa sababu tu ya kuleta mambo yake ya majaribio kwa wachezaji; apambane tu mwenyewe na hali yake.
 
Lawama zote ziende kwa uongozi. Walitakiwa wabakie na Miloud Hamdi. Na kama aliamua mwenyewe kuondoka, walitakiwa wamchukue kocha mwenye CV kubwa na ya kueleweka! Badala ya kuajiri makocha wa majaribio kama hawa akina Romain Folz.

Yanga ni timu kubwa kwa sasa! Inakuwaje uongozi unamuajiri kocha ambaye maeneo mengi aliyopita alikuwa ni kocha msaidizi!
Huenda hesabu zilikuwa huyu kocha kwa kuwa kijana atatuletea mpira wa kileo kama tunaouona kwa Liverpool fc bahati mbaya kocha mwenyewe hana uwezo.

Uongozi ukubali tu mapema kuwa walikosea na watafute mbadala.
 
Yanga ya msimu uliopita mtuliza temper ya mchezo alikuwa ni Khalid Aucho! Hii Yanga ya sasa nimemgundua Mohamed Doumbia ndiye mwenye ubora huo pale katikati Ubora wa kuifanya Yanga kucheza kwa malengo!

Ila nashangaa kocha hampi kabisa huyu Doumbia nafasi/hadhi anayostahili! Huyu jamaa alitakiwa kila mechi aanze.
 
Kocha hadi sasa hajui nani anastahili kuanza ukimtoa Pacome na Diara
 
Yeye anajifanya eti anafanya rotation! Na wakati hiyo ratation alitakiwa aifanye baadaye atakapokuwa amekitengeneza tayari kikosi chake cha kwanza.
 
Back
Top Bottom