Hata nje ya JF mechi haina amshaamsha kutokana na matokeo ya ugenini.Duh kwel JF Tanzania imefungwa. Ndo uzi unafunguliwa muda huu.
18:00 jioniHuu mchezo utachezwa saa ngapi?
Mechi ndiyo inaanza dakika chache kutoka sasa. Saa 11:00 jioni.Huu mchezo utachezwa saa ngapi?
Huyu kocha ni wa hovyo mnoYanga tutafute kocha huyu jamaa ni kama vile yuko field
Kocha wako umemuona huyo.Huyu kocha ni wa hovyo mno