Nabi hata wakati watu wanampa muda, tulikuwa tunaona mabadiliko chanya ya uchezaji wa timu bila kujali ni matokeo yapi timu inapata. Sasa huyu kadri Yanga inavyocheza ndipo inavyozidi kushuka ubora na kucheza mpira wa hovyo. Ubora wa mchezaji mmoja mmoja ndiyo inayoipa Yanga matokeo