FT: Yanga SC 2-1 Jamus FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 02/01/2024

FT: Yanga SC 2-1 Jamus FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 02/01/2024

Vincenzo Jr

Platinum Member
Joined
Sep 23, 2020
Posts
24,262
Reaction score
58,728
Tupo tayari kwa mchezo wetu wa pili wa kombe la Mapinduzi hapo baadae ni saa 2:15 usiku
Mungu ibariki Yanga SC
Kila la kheri Yanga SC

20240102_014423.jpg
 
Wachezaji wetu wakikosi cha pili watachezg kama kawaida, ila kule makoloni wanaua vipaji vya vijana kombe la mapinduzi akina bareke saido onana wa nini sasa
Simba anacheza na bingwa mtetezi sasa nyie hivyo vitimu mnavyocheza navyo mtahesabu ni timu kweli?
 
Jamus, na nyinyi mjiandae kupokea zawadi yenu ya mwaka mpya kutoka kwa Wananchi. Yaani ile ya ✋
Na kama hamuelewi ni zawadi gani, basi waulizeni tu simba, KMC, Jamhuri, na wengineo wengi! Watawaambia.
 
Back
Top Bottom