Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Bingwa wa ligi ya Sudan kisini huyo.Hiyo jaminus inashiriki ligi gani?
Labda uniambie wewe, Simba ni bingwa wa ligi gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bingwa wa ligi ya Sudan kisini huyo.Hiyo jaminus inashiriki ligi gani?
Aisee!!!Bingwa wa ligi ya Sudan kisini huyo.
Labda uniambie wewe, Simba ni bingwa wa ligi gani?
Bongwa wa ligi ya Sudan kusini huyo.Hii jamus inatokea wapi sijawahi kuisikia .hizi timu za ligi daraja la 4 msumbiji huko nazo sikujua zinashiriki hili kombe
Bongwa ndiyo nini ...???Bongwa wa ligi ya Sudan kusini huyo.
Kwamzee Salver Kiir.Aisee!!!
Nyie watu mna matatizo gani lakini!!!??
Sudan kisini ndiyo wapi??
mkubwa ni mkubwa tu.Yaani hizi ratiba zimekaa kiupendeleo sana . Simba na yanga hazichezi juani wakati timu nyingine zote zinachezeshwa kwenye jua kali la saa kumi.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Nyinyi ndo wenye matatizo msimu huu mnalalamika na kujieleza sana 😁🤣🤣Aisee!!!
Nyie watu mna matatizo gani lakini!!!??
Sudan kisini ndiyo wapi??
Kwanza tenganisha neno "Kwa" na "Mzee".Kwamzee Salver Kiir.
Hatujielezi. Kwani zile 3-1 za Jana siyo goli za ushindi???Nyinyi ndo wenye matatizo msimu huu mnalalamika na kujieleza sana 😁🤣🤣
Tahira huyo kavamia fani ya football wakati kwakwe ni kwenye taarabuwewe kweli mbumbumbu nani kakwambia bingwa mtetezi ni JKU? WAKUU HEBU MUONENI HUYU MTU teh
Wenzio walishinda 5 Tena kwa kikosi b wewe jana full mkoko unashinda 3 hivi huna aibuHatujielezi. Kwani zile 3-1 za Jana siyo goli za ushindi???
Matokeo hayapangwi hutokea.Wenzio walishinda 5 Tena kwa kikosi b wewe jana full mkoko unashinda 3 hivi huna aibu
Nimekuuliza kuhusu simba sc wewe unaleta mambo ya Argentina hauna hoja wewe ngoja nikuache uendelee kujieleza tu hapa hivi ujamskia kocha jana akilalamika au upo upo tuMatokeo hayapangwi hutokea.
Hivi Saudia ilipowafunga Argentina 2-1 wewe ungekuwa ndiyo Kocha wa Argentina sijui ungesemaje!!??
Na kwa Nini mlivyo fungwa 5 nyie simba sc mlifukuza kocha ????Matokeo hayapangwi hutokea.
Hivi Saudia ilipowafunga Argentina 2-1 wewe ungekuwa ndiyo Kocha wa Argentina sijui ungesemaje!!??
Sudani kusini? Kuna ligi huko? Huko ni sawa na somalia tu, halafu sijaulizia bingwa nimeulizia ligi.Bingwa wa ligi ya Sudan kisini huyo.
Labda uniambie wewe, Simba ni bingwa wa ligi gani?
Fungua darasa nije nijifunze kuandika.Kwanza tenganisha neno "Kwa" na "Mzee".
Jina lake ni Salva Kiir Mayardit.