FT: Yanga SC 2-1 Jamus FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 02/01/2024

Nimekuuliza kuhusu simba sc wewe unaleta mambo ya Argentina hauna hoja wewe ngoja nikuache uendelee kujieleza tu hapa hivi ujamskia kocha jana akilalamika au upo upo tu
Kasema wachezaji wamecheza chini ya kiwango. unaelewa maana yake ama unaleta tu utopolo wako hapa.

Ina maana wana kiwango ila wamecheza chini ya kiwango chao hakusema wachezaji wana kiwango kidogo.
 
Leo ni mechi ya kitoto tena, mechi ya kikubwa ilikuwa jana yaani full ushindani.

Uto wanapambana kwa kutupa mabomu mochwari, wana lunyasi wanapambana kwa kutupa mabomu katika kambi za jeshi 😂
Sasa unadhani hata nimekuelewa basi?
 
Leo ni mechi ya kitoto tena, mechi ya kikubwa ilikuwa jana yaani full ushindani.

Uto wanapambana kwa kutupa mabomu mochwari, wana lunyasi wanapambana kwa kutupa mabomu katika kambi za jeshi 😂
Mbona umeongea kama sio mtu wa mpira umeongea kama mtu wa uswahilini je Yanga sc alivokupiga 5 wewe ulikuwa ni mzima au ulikuwa mbovu nijibu haya maswali simba ni mzima au mbovu
 
Kasema wachezaji wamecheza chini ya kiwango. unaelewa maana yake ama unaleta tu utopolo wako hapa.

Ina maana wana kiwango ila wamecheza chini ya kiwango chao hakusema wachezaji wana kiwango kidogo.
Wewe kweli kolo na mtaishia hivyo hivyo kuwa wabovu siku zote na mnakuja kujieleza sana hapa na ndio maana kwenye ligi haufanyi vizuri kwa sababu ya dharau zenu ni mwendo wa suluhu na vipigo tabulele raaaaaaa 5 zilikuumiza mpaka haupo sawa sawa kwani ukikubali na kusema Mimi ni mbovu unashindwa Nini wenzio wanashine wewe utaishia kuwa na husda hadi ukomeee kolo wewe
 
Mbona umeongea kama sio mtu wa mpira umeongea kama mtu wa uswahilini je Yanga sc alivokupiga 5 wewe ulikuwa ni mzima au ulikuwa mbovu nijibu haya maswali simba ni mzima au mbovu
Kabla hamjapiga hizo tano mlikuwa mmeshapigwa 6 na hamjawahi kuzirudisha, nakushangaa unapoacha kuzizungumzia hizo 6 na kukimbilia kwenye zile tano za kuotea.

Anyway kwa kukujibu na kukutia moyo ni kwamba mlifunga team kubwa wala sio ajabu hata MU na Bayern Munich wanapigwagwa nyingi tu ila wapigaji huwaga hawajisifu kupiga timu kubwa kwa sababu wanajua tu wamebahatisha so hukaa kimya huko ulaya, sasa basi huku bongo Uto hujisifu milele kwa kwa kupiga timu kubwa kwa vigori vitano vya ambush.

Endeleeni kutupa mabomu mochwari hapo mapinduzi cup, ila sie tunatupa mabomu katika kambi za kijeshi 😂
 
Wewe kweli kolo na mtaishia hivyo hivyo kuwa wabovu siku zote na mnakuja kujieleza sana hapa na ndio maana kwenye ligi haufanyi vizuri kwa sababu ya dharau zenu ni mwendo wa suluhu na vipigo tabulele raaaaaaa 5 zilikuumiza mpaka haupo sawa sawa kwani ukikubali na kusema Mimi ni mbovu unashindwa Nini wenzio wanashine wewe utaishia kuwa na husda hadi ukomeee kolo wewe
Simba ni mara ya kwanza kufungwa 5?

Mbona tulishawahi kufungwa tano dabali dabali mpaka mkatuita Hamsa Hamsa lakini bado tuliendelea kuwa imara zaidi kwenye mashindano ya Caf.

Waliwahi kufungwa 7-0 Barcelano na Bayern Munich itakuwa simba?? Labda mseme nyie wenyewe mnajishangaa kuifunga simba 5-1.
 
Mbona umeongea kama sio mtu wa mpira umeongea kama mtu wa uswahilini je Yanga sc alivokupiga 5 wewe ulikuwa ni mzima au ulikuwa mbovu nijibu haya maswali simba ni mzima au mbovu
Yeye na Jamhuri kiwango chao sawa
Ndio maana wote tumewachomeka 5.
 
Simba ni mara ya kwanza kufungwa 5.

Mbona tulishawahi kufungwa tano dabali dabali mpaka mkatuita Hamsa Hamsa lakini bado tuliendelea kuwa imara zaidi kwenye mashindano ya Caf.

Waliwahi kufungwa 8-0 Barcelano na Bayern Munich itakuwa simba?? Labda mseme nyie wenyewe mnajishangaa kujifunga simba 5-1.
Usihangaike na shabiki wa kutupa mabomu mochwari. Anakimbia hoja ya wao kutupa mabomu mochwari na kuingiza ile ya wao kubahatisha kufunga timu kubwa, mwache ashangilie hizo goli 5 maana mpaka leo hawaamini waliwezaje kufunga timu kubwa kama Simba ilhali wao ni vyura 😂😂
 
Simba ni mara ya kwanza kufungwa 5?

Mbona tulishawahi kufungwa tano dabali dabali mpaka mkatuita Hamsa Hamsa lakini bado tuliendelea kuwa imara zaidi kwenye mashindano ya Caf.

Waliwahi kufungwa 8-0 Barcelano na Bayern Munich itakuwa simba?? Labda mseme nyie wenyewe mnajishangaa kujifunga simba 5-1.
20231216_232017.jpg

Wewe ni mediocre muongeza zero Tena unajishow hauna hoja na ndio maana Yanga anavofanya vizuri roho inakuuma na bado kolo wewe je wewe hizi ulirudisha nimekuuliza habari za simba sc unaleta na man uu na Bayern kweli nyie rage alikuwa sahihi kuwaita lile Jina lenu pendwa
 
Back
Top Bottom