FT: Yanga SC 2-1 Jamus FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 02/01/2024

FT: Yanga SC 2-1 Jamus FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 02/01/2024

Mnapoleta nyuzi zenu hizi jaribuni basi kuandik kinag ubaga, hayo ni mashindano gani, hizo timu zipo nafasi zipoi nk..

Nyuzi uchwara za namna hii, ambazo hawa members hukimbilia kuanzisha ili nao waonekane ni maarufu ni sifa za kijinga.
 
Hey sikiliza kwani kusoma kichwa cha habari uwezi hapo juu au ni jealous tu unayo kama umeona ni Uzi uchwara mbona umekuja na kuandika next time ikiona Uzi haukufai ignore acha kuwa na wivu na chuki dhidi ya member wenzako sawa wewe
 
Hii jamus inatokea wapi sijawahi kuisikia .hizi timu za ligi daraja la 4 msumbiji huko nazo sikujua zinashiriki hili kombe
 
Utopolo Kweli ni shida...

Jamus nayo ya kuidamkia kwa Uzi usiku usiku namna hii..!
Kuna watu mna maisha ya raha sana. Kumbe kuna wenzetu mna usiku na mchana, na huo usiku ukionekana unafanya jambo lolote unaonekana ni wa ajabu??
Ndiyo maana huko kwenu TANESCO bado wana zile mentality za kwamba watu wanavuta umeme majumbani ili kuachana na vibatari, makarabai na chemli. Wao umeme ni kwa ajili ya kupambana na giza, siyo uzalishaji na ndiyo maana wanakata mchana kutwa na kuurudisha usiku.
 
Mnapoleta nyuzi zenu hizi jaribuni basi kuandik kinag ubaga, hayo ni mashindano gani, hizo timu zipo nafasi zipoi nk..

Nyuzi uchwara za namna hii, ambazo hawa members hukimbilia kuanzisha ili nao waonekane ni maarufu ni sifa za kijinga.
Acha nongwa na wivu usio na kichwa wala miguu.
 
Hivi waliopanga makundi ilikuwaje, maana Yanga yeye kapangwa na vitoto vya secondary.
 
Simba anacheza na bingwa mtetezi sasa nyie hivyo vitimu mnavyocheza navyo mtahesabu ni timu kweli?
Hoja yako hapo ni ipi?
Kama hoja yako ni kua Yanga inacheza na timu mbovu, nikweli.

Maana Yanga inachezaga na timu mbovu tu, ndio maana unakuta inazifunga bao 5.
 
Back
Top Bottom