avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
Hakuna old school ambaye yupo loose kiasi hikiUnijui sikujui Mimi unknown wewe unknown usilete kujuana i am old school don't battle with me you pussy
Hijos de puta madre
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna old school ambaye yupo loose kiasi hikiUnijui sikujui Mimi unknown wewe unknown usilete kujuana i am old school don't battle with me you pussy
Hijos de puta madre
😁🤣🤣🤣Unachekesha kweli simba hii ya kina ayubu na beki unga unga chemalone labda CAF na FIFA ya lindi na mtwara labdaSawa ni mbovu, lakini kwa ubovu wake hadi fifa na Caf wanaitambua kuwa ni team bora, sasa huo ubovu haupo Yanga isiyotambuliwa kuwa ni team bora?
Simba tutaenda kushiriki kombe la dunia kwa vilabu, Yanga mtakwenda au mtabaki kusherehekea goli 5?
I don't careHakuna old school ambaye yupo loose kiasi hiki
Jibu swali plz Uto mtaenda world cup ama mtabaki kushangililia mliipiga timu goli 5 timu kubwa inayoshiriki world cup?😁🤣🤣🤣Unachekesha kweli simba hii ya kina ayubu na beki unga unga chemalone labda CAF na FIFA ya lindi na mtwara labda
Simba hawezi kushiriki huko acha ubishi kaka na kama angeshiriki ataishia kupigwa 10 Kila mechi kwa beki zile kina che Malone hamna kitu mulee acha ubishiJibu swali plz Uto mtaenda world cup ama mtabaki kushangililia kuipiga timu kubwa goli 5 onayoshiriki world cup?
Kwenye maelezo yako hauja jibu Simba mbovu au sio mbovuKabla hamjapiga hizo tano mlikuwa mmeshapigwa 6 na hamjawahi kuzirudisha, nakushangaa unapoacha kuzizungumzia hizo 6 na kukimbilia kwenye zile tano za kuotea.
Anyway kwa kukujibu na kukutia moyo ni kwamba mlifunga team kubwa wala sio ajabu hata MU na Bayern Munich wanapigwagwa nyingi tu ila wapigaji huwaga hawajisifu kupiga timu kubwa kwa sababu wanajua tu wamebahatisha so hukaa kimya huko ulaya, sasa basi huku bongo Uto hujisifu milele kwa kwa kupiga timu kubwa kwa vigori vitano vya ambush.
Endeleeni kutupa mabomu mochwari hapo mapinduzi cup, ila sie tunatupa mabomu katika kambi za kijeshi [emoji23]
Naunga mkono hojaKwenye maelezo yako hauja jibu Simba mbovu au sio mbovu
HahahahUtopolo Kweli ni shida...
Jamus nayo ya kuidamkia kwa Uzi usiku usiku namna hii..!
🤣😁🤣
Unachekelea Nini sasaHahahah
Wazee wa kupandisha Mnara kazini.Tupo tayari kwa mchezo wetu wa pili wa kombe la Mapinduzi hapo baadae ni saa 2:15 usiku
Mungu ibariki Yanga SC
Kila la kheri Yanga SC
View attachment 2859709
Mbona nimejibu mkuu 😂Kwenye maelezo yako hauja jibu Simba mbovu au sio mbovu
Simba hawezi kushiriki huko acha ubishi kaka na kama angeshiriki ataishia kupigwa 10 Kila mechi kwa beki zile kina che Malone hamna kitu mulee acha ubishi
Hii nini umeweka?
Makolo hii inaweza tokea katika ndoto tu ila si katika uhalisia wake ni kama kuhesabu hela usingizini.Siku Yanga ikifungwa goal 5 na simba kuna mashabiki na waandishi wa habari uchwara wa Yanga watajinyonga mchana kweupe
Mpira unadunda,ipo siku mtalia tuMakolo hii inaweza tokea katika ndoto tu ila si katika uhalisia wake ni kama kuhesabu hela usingizini.