Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
- #81
Eti simba ni kubwa kuliko Yanga 😁🤣🤣🤣🤣🤣🤣 muongeza zeroUsihangaike na shabiki wa kutupa mabomu mochwari. Anakimbia hoja ya wao kutupa mabomu mochwari na kuingiza ile ya wao kubahatisha kufunga timu kubwa, mwache ashangilie hizo goli 5 maana mpaka leo hawaamini waliwezaje kufunga timu kubwa kama Simba ilhali wao ni vyura 😂😂