kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Lini...?Hata wewe ulivyopigwa 5 ulikuwa kilema😂😁
Achana na Historia....!
Huyo Jamus...... ! 5 bado
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini...?Hata wewe ulivyopigwa 5 ulikuwa kilema😂😁
Usimkatie mtu.....TAMAAA
Usimkatie mtu tamaaaaaa
Tunasubilia penalty
Yaani hawa wako ligi moja na zalanSiyo sudan, sema Sudan ya kusini, timu ambayo kwa Tanzania hata ligi ya mkoa haiwezi kushindana [emoji23][emoji23][emoji23]
Ingizo jipya vipi!! Halijaonyesha a new magicUkisikia ball possession isiyokuwa na tija ndiyo hii tunayoiona kwa yanga Leo,
[emoji23][emoji23][emoji23]Gooal Farid Musa
Hii ndiyo yanga tunayoifahamu!
Daaaaahh[emoji23][emoji23]Goooal Moloko 1-3
Yangaaa...Daima nguvu nyuma mbele mwiko moja
5G ya nokoFt 1 _1
Utapigwa mawe mkuu watu wana hasira bomu limegoma kulipuka mochwari 😂Ngapi ngapi huko??
Dk ya ngapi uko wazeeUtopolo wanabutua tu