FT: Yanga SC 2-1 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 08.02.2024

FT: Yanga SC 2-1 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 08.02.2024

Muwe na adabu na mpira siku nyingine...mliisema Sana Simba...
 
Dah! Ila leo kocha amezingua aisee. Waliostahili kutoka walikuwa ni Mzize na huyu mchezaji wake Guede ambaye anazunguka tu pale mbele.

Kutoka kwa Aucho na Pacome kumeharibu kabisa mfumo wa timu.
Mtani kipenzi....pole baba
 
Refa maliza boli wengine tunaishi mbali
 
Back
Top Bottom