FT: Yanga SC 2-1 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 08.02.2024

FT: Yanga SC 2-1 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 08.02.2024

Ila wachezaji wa Yanga na kocha wao wanatuweka matumbo joto mpaka basi. Yaani tunaongoza lakini hatuna amani.
Kochi ndio hamna pale. Hawa wachezaj wancheza kwa uwezo wao binafsi tu, halafu huyu Gamondi amerithi timu ya Nabi, ndio maana kadri muda unavyozidi kwenda ndio unaona timu inazid kupoteana
 
ila huyu mudathir haya magoli ya dk za mwisho huwa ana kiwanda cha kuyatengeneza? haf dk zake ni zilezile. 85 hadi 88.
Na uwanja je? Ana bahati nao.
Azam Complex ni uwanja wake wa nyumbani.
 
Ila uzuri Mashujaa manyani ya kigoma yametoa gundu...yamechafua CV..
 
Back
Top Bottom