Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Si ni nyie mkasema atakaa nje miezi mitatuWakuu nasikia kuna mchezaji wa yanga kaona victor osimeh anafaifi sana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ni nyie mkasema atakaa nje miezi mitatuWakuu nasikia kuna mchezaji wa yanga kaona victor osimeh anafaifi sana?
Kochi ndio hamna pale. Hawa wachezaj wancheza kwa uwezo wao binafsi tu, halafu huyu Gamondi amerithi timu ya Nabi, ndio maana kadri muda unavyozidi kwenda ndio unaona timu inazid kupoteanaIla wachezaji wa Yanga na kocha wao wanatuweka matumbo joto mpaka basi. Yaani tunaongoza lakini hatuna amani.
Asante kwa marekebishoMudathiri
Kiko wapi sasa ?Muwe na adabu na mpira siku nyingine...mliisema Sana Simba...
😂 that was figure of speech, huoni umeamka na kutype wakati unashangiliaNdio nilikuwa busy na mpira Mkuu, nilale kwa raha gani?
Ni asili ya mtu mpambanaji asiekata tamaa.ila huyu mudathir haya magoli ya dk za mwisho huwa ana kiwanda cha kuyatengeneza? haf dk zake ni zilezile. 85 hadi 88.
Na uwanja je? Ana bahati nao.ila huyu mudathir haya magoli ya dk za mwisho huwa ana kiwanda cha kuyatengeneza? haf dk zake ni zilezile. 85 hadi 88.
Kiko wapiMuwe na adabu na mpira siku nyingine...mliisema Sana Simba...
Kinini?.ila yanga hii inateseka sana na pira gamondi lake..Kiko wapi sasa ?
Kuna umuhimu mkubwa Mwasibu Sele wetu amfanyie hesabu zake ..Huyu Guede alitakiwa kutoka tangu kipindi cha kwanza.
Inawezekana hajacheza muda mrefu mechi za ushindani.Kabisa.: au ndio wanamtengenezea fitness
anatusitiri kwa kweli, unajua kesho mechi ya Azam ningepooza sana.Na uwanja je? Ana bahati nao.
Azam Complex ni uwanja wake wa nyumbani.