FT: Yanga SC 2-1 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 08.02.2024

FT: Yanga SC 2-1 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 08.02.2024

Wachezaji wengine tegemeo wanazurula tu hawajaripoti mpaka leo
kocha bado anajaribu jaribu wachezaji kama vile tuko kombe la mapinduzi! Huu ujinga ndo naelewa kwanini akina TSHABALALA hawana likizo kocha serious huwa anaepuka kuitoa timu sadaka
Huna haja ya kuzunguka, uongozi wa Yanga fc unastahili lawama kwa asilimia 90.
Wachezaji wote wanaotoka ulaya walioshiriki AFCON walikuwa wanarudi haraka sana kwenye vilabu vyao lakini viongozi wa Yanga wameona wachezaji wetu ni wafalme wanastahili mapumziko baada ya kucheza mechi 4 au 5 za AFCON, tatizo hili.

Dede Ayew na Inaki Williams hawakupumzika hata siku mbili wakacheza mechi za ligi. Ni upuuzi na ujinga anaofanya Hersi unatughalimu leo.
 
Vitaulo FC...
Yani club Bingwa mtachapika sana...
 
Wanasimba mbona kimya ?
20240202_082545.jpg
 
1. Ile njaa ya Yanga pre-afcon bado haijarudi.

2. Kocha aje na Plan ya namna gani ya kufunga dhidi ya timu zinazopaki bus. Nimenotice timu zote zinazocheza na Yanga game plan yao kwa sasa ni kuzuia magoli tu. UMAKINI BADO KWENYE UFUNGAJI.

3. Okrah PERFECT. Guede sijui.

4. Gamondi bado hajalijua vyema soka la Bongo. Na hana maamuzi ya hakika. Huwezi toa engine ya timu-aucho kwa kuwa mbele goli moja eti umemaliza mchezo.
 
Huna haja ya kuzunguka, uongozi wa Yanga fc unastahili lawama kwa asilimia 90.
Wachezaji wote wanaotoka ulaya walioshiriki AFCON walikuwa wanarudi haraka sana kwenye vilabu vyao lakini viongozi wa Yanga wameona wachezaji wetu ni wafalme wanastahili mapumziko baada ya kucheza mechi 4 au 5 za AFCON, tatizo hili.

Dede Ayew na Inaki Williams hawakupumzika hata siku mbili wakacheza mechi za ligi. Ni upuuzi na ujinga anaofanya Hersi unatughalimu leo.
likizo za kipumbavu pumbavu za akina max zote zimeshatugarimu! Mbona Musonda yupo wao wametolewa robo uko ila mpk saivi hawajulikani walipo. Naona uongozi wanajisahau kukosa sapoti ya mashabiki huwaga ni dakika0 tu
 
Timu inayotafuta matokeo haiwezi kufanya sub ya ajabu namna ile. Viungo wanaochezesha timu unawatoa wakati timu ina sare ya goli moja moja!
ilikua tunaongoza goli moja
akaona kama tuna 5 sijui! Kafanya sub ikazaa matunda kwamashujaa kufumba kufumbua wamesawazisha afu wanatushambulia kama familia isio na baba
 
Viongozi wanaishi na wachezaji kishikaji huku wakifanya sajili za ana ana Doo anyway team ni Yao kwa Sasa shabiki ni fala flani acha waishi nayo hadi pale watapokkutana na viwanja tupu
 
likizo za kipumbavu pumbavu za akina max zote zimeshatugarimu! Mbona Musonda yupo wao wametolewa robo uko ila mpk saivi hawajulikani walipo. Naona uongozi wanajisahau kukosa sapoti ya mashabiki huwaga ni dakika0 tu
Unazungumzia nini?
 
Back
Top Bottom