Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Au sioNdio Mtani.
Chukua hii 3-0.
Ndio hivyo. 😂Au sio
Yanga ishushe tu daraja, tumechoka na makasirikoView attachment 3699577
KIvumbi cha ligi kuu kinaendelea leo kikiwakutanisha Mabingwa watetezi Yanga SC dhidi ya Mashujaa kutokea Kigoma.
Yanga ataingia kuyataka matokeo ya alama 3 baada ya kutoka sare dhidi ya TRA mchezo uliopita
Mna imani kubwa, Imani yakuvunja mlimaNdio hivyo. 😂
Yaani baada ya sisi kuharibu mechi mbili tatu mmeshatuchukulia ni wabovu kuliko.Mna imani kubwa, Imani yakuvunja mlima
YANGA 1- 1. MASHUJAAView attachment 3699577
KIvumbi cha ligi kuu kinaendelea leo kikiwakutanisha Mabingwa watetezi Yanga SC dhidi ya Mashujaa kutokea Kigoma.
Yanga ataingia kuyataka matokeo ya alama 3 baada ya kutoka sare dhidi ya TRA mchezo uliopita
Wewe wasema hayo wala hatujawaza kuwa timu yenu pendwa nyuma mwiko ni mbovuYaani baada ya sisi kuharibu mechi mbili tatu mmeshatuchukulia ni wabovu kuliko.
Timu yetu sio mbaya kiasi hicho.