FT: Yanga SC 3 - 0 Pamba jiji FC | NBC Premier League |Benjamin Mkapa Stadium | September 24, 2025

C kocha pekee mbaka wachezaji hakuna kitu .
Wachezaji kuwa vile husababishwa na kiongozi wao ambaye ni kocha. Kama kocha angeonesha hapendi upumbavu uwanjani usiongeona huu ujinga wa wachezaji. Kocha mbinu hakuna, ufundi hakuna, uongozi hakuna, kasi ya mpira hakuna, yaani mpira wa Yanga uliozoeleka umepotea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…