FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

Naona makolo wameroga uwanja lakini lazima Azam akandwe
 
Huyu mzize ndiye ategemewe kuifungua ngome ya wachezaji wa Ahly kwenye zile ndoto zenu za kuwapiga nje ndani.?


Moja kati ya udhaifu wa Mzize ni offside zisizo na maana.

‘Tuwachie’ straika letu.. Nzize ni Aaalandi ntupu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nafsi yangu leo haina wasiwasi na inanipa uhakika wa Yanga kushinda bao tatu au zaidi.

Msishangae bao zikwa tano.

MUda utasema.
ikiwa hamjatoa sadaka kwa mchungaji wenu sahau kushinda, mpaka sasa mnapigishwa kwata ni vijana wa SSB
 
Hii game konkoni aingie na atengeneze jina lake kwa gamondi, awe starting.
Mzinze ni bocco wa yanga.
Lolote litokee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…