Aise! Kuna uzi wa masuala ya urembo hebu kajikite tu huko.Mzize tatizo umri umemtupa mkono akili inataka mwili hautaki
Ukiacha ule tunaoujua sina uhakika lakini nakataa kumuita Mzee.. huwezi kumuita mzeeAna umri gani ?
Ahly atapata tabu sanaUto kazidiwa ball possession, hili ndo pira papatu papatu sasa
Sio mzee na wala sio mtoto kama unavyotaka kutu aminisha ni kiwango tu hana he is over hypedUkiacha ule tunaoujua sina uhakika lakini nakataa kumuita Mzee.. huwezi kumuita mzee
Umeona Kwa marefu Kukosekana Kwa Yao kunaikost team...Mechi ya Yanga vs Azam haijawahi kuwa mechi nyepesi. Ila kwenye benchi la Yanga leo sijui ni nani atakayeweza kubadili mchezo. Viatu vya Yao vimeshibdwa kuvaliwa vyema hadi sasa.
Atapata tabu kuhesabu magoli atakayo shindaAhly atapata tabu sana
You might be correct Kwa kifupi ni homa za vipindiSio mzee na wala sio mtoto kama unavyotaka kutu aminisha ni kiwango tu hana he is over hyped
Hadi Max?Hawa hamna kitu aisee.
Maneno mengi.
Kabsa Wana yanga ondoeni hofu game ya singida mtakua imala zaidi mtaupiga mpira mwingi ila kwa hizi game za bila bahasha mtaendelea kuhangaika sanaRage alikuwa sahihi .
Kuliko Manara?Rage alikuwa sahihi .
Indeed [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Clement doing mzize things [emoji23][emoji23]
Tulia anakuja kuwaliza AzamSkudu anapasha kwenda wapi [emoji23]
Manara ni kijana wenu .Kuliko Manara?