FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

Refa anawasubiria Azam kuingia uwanjani.

Wamechelewa
 
Ukiacha ule tunaoujua sina uhakika lakini nakataa kumuita Mzee.. huwezi kumuita mzee
Sio mzee na wala sio mtoto kama unavyotaka kutu aminisha ni kiwango tu hana he is over hyped
 
Yanga Lazima afungwe leo.
Litakuwa Jambo zuri sana.
Bia zitanyweka vizuri.[emoji849]
 
Goli la Azam no Offside sasa mkae mje mmaindi mtu Mwingine akiwaonea nyie
 
Rage alikuwa sahihi .
Kabsa Wana yanga ondoeni hofu game ya singida mtakua imala zaidi mtaupiga mpira mwingi ila kwa hizi game za bila bahasha mtaendelea kuhangaika sana
 
Back
Top Bottom