FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

Hii team bila bahasha ni team mfu kabsa
 
Nafasi ya upili imekuwa ya ushindani sana

Na saizi Singida alishajihakikishia nafasi ya tatu ni yake, sasa anapomuona mwingine anainyemelea lazima amuwekee mikakati ya kumtoa kwenye hiyo nafasi.
 
Hivi hakunaga uchawi wa kuusogeza muda kuufanya uwe mfupi ili tuimalize hii mechi
 
Medeama wameangalia mechi wamechekaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mkienda kimataifa mvae msuli kazi yao wanakua wanaupandisha tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…