Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Bado haujasema🤣🤣🤣YANGA tamu nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado haujasema🤣🤣🤣YANGA tamu nyie
Mwenyekiti nakusubiri kwenye Uzi wetu wa Milioni 400!.. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimalize mpiraa??
Ayaaa[emoji23]
Kuwa mstaarabuakikuomba k unampa?
Oya wana kama kawaida twende kwenye uzi wetu wa kihesabu
Gooooooooooooo
Linapigwa jitu hapa mpaka limetoka damu
Dah Kwa riffle toka USSR [emoji23][emoji23][emoji23]Yanga huwa tunawacheki masnitch kwa mbali alafu tunawabomoa za shingo sisi ndo masniper
Mavi matupu, Mhasibu wa kozi ya Nabe.Nasubiri hesabbu za kihasibu kutoka kwa okwi boban[emoji23][emoji23][emoji1787]
Tulia kaka mkubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si umekaa palee, anza kusogea hapa sasa badala ya palee 😂!.Full time, yanga 1 - azam 3, nipo nmekaa palee, sijawah tabiri vibaya
Watajua hawajui alafu tunataka la 4 au wakimbie uwanjaniDah Kwa riffle toka USSR [emoji23][emoji23][emoji23]
dakika yangapi mkuu
Lazima wasuse ndo tabia Yao tangu wakiwa uarabuni [emoji16]Watajua hawajui alafu tunataka la 4 au wakimbie uwanjani
Mimi sitarudi. Ila naitakia ushindi timu yangu ya Wananchi.