FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

Azam hawana golikipa, ni game ya pili hii nawatizama kipa anawaua, shirikisho aliwauwa na leo kawaua..

Game nzuri, pira linatembea timu zote, nguvu kubwa ya yanga ni pale kati, zouazoua,azizi, na maxi hawa ni midfielders, wanashiriki kuchezesha timu, wanafanya overload hapo kati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…