FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

mechi ya azam na nyau lazima nyau alie inabaki lawama kwamba azam anashindwa kwa yanga kazi kumuonea nyau
 
Mji uko kimyaaaa na hii ndiyo Yanga niijuyo....
Wale waliokuwa wanasubiri, tuteleze leo wamejificha kimya. Aibu yenu....
πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›
Sijanywa huu mwaka wa nane ila leo nakunywa wallahi maana hali ilikuwa tete. Kuna Makolo hapa alikuwa ananighasi mpaka basi yaani. Imebidi tu akalale. Na moto leo wala simpelekei. This is Yangaaa! πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…