Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiwe nyuma huko.Mama yangu sindio wewe[emoji23][emoji23][emoji23] au umesahau alivyo vunja ndoa ya mama yangu kisa mishanga yako.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hawa Azam ni matackle
Tumewachania mkeka wao, walihaidiwa 500 ml.Washenzi walitupania hawq
Je kama hausomi hata huo uzi wenyewe si mnajichosha tu kumpandia [emoji23][emoji23]Watu washampandia muda sana
Haitakuwa rahisi hivyo..!mechi ya azam na nyau lazima nyau alie inabaki lawama kwamba azam anashindwa kwa yanga kazi kumuonea nyau
Hawezi kwenda simbaAzizi ki ana kitu namuona simba msimu ujao
Waliomsajili wanaona yule ndio Bora ndio maana wamemsajili ungeenda majaribio kiongozi usajiliwe....pole lakiniBora likae gunia kuliko yule.
Sijanywa huu mwaka wa nane ila leo nakunywa wallahi maana hali ilikuwa tete. Kuna Makolo hapa alikuwa ananighasi mpaka basi yaani. Imebidi tu akalale. Na moto leo wala simpelekei. This is Yangaaa! 💪💪💪Mji uko kimyaaaa na hii ndiyo Yanga niijuyo....
Wale waliokuwa wanasubiri, tuteleze leo wamejificha kimya. Aibu yenu....
💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛
Kwa dakika hizi aingie hata Mshery, me sina deni nae tena.Bado Diarra anapatiwa matibabu
Anaweza asiendelee na hii game.
Japo dakika zimebaki chache sana