FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

Mji uko kimyaaaa na hii ndiyo Yanga niijuyo....
Wale waliokuwa wanasubiri, tuteleze leo wamejificha kimya. Aibu yenu....
💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚💛
Sijanywa huu mwaka wa nane ila leo nakunywa wallahi maana hali ilikuwa tete. Kuna Makolo hapa alikuwa ananighasi mpaka basi yaani. Imebidi tu akalale. Na moto leo wala simpelekei. This is Yangaaa! 💪💪💪
 
Back
Top Bottom