FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

Subiri hapo hapo nakuitia CPA Dr OKWI.
 
Uchawi kwani ndio unacheza ww kweli kolowizard
Ondoa ujinga kichwani mwako dogo, Yanga si timu ya maana kimataifa. Kilichotikea mwaka huu kwao ni maajab tu, usichukulie kuwa ndiyo uhalisia wenu. Hii hutokea kila baada ya miaka 70 kwenu, subiri haibu ya makundi ianze ndipo utagundia kuwa Yanga si chochote si lolote kimataifa.
 
Haha! eti Haibu mkuu wewe mwenyeji wa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…