Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni Asset na siyo Liablity kwa Young Africans , Thamani yake ilikuwa ni zaidi ya millioni 400 wakati wa Ununuzi wake .Kifupi Yanga wameingiza faida ya zaidi ya milioni 400 ikiwa ongezeko (Gain) la thamani ya mchezaji, Manunuzi ya mchezaji yamekuwa na tija kubwa kwa Wananchi kwa kuimarisha safu ya ushambuliaji , kuimarisha Perfomance,Cashflows na Position ya Club.
Hii Faida inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama ifuatavyo baada ya kufanya masahisho(correction of error)ya kosa la kijinga la Mhasibu kilaza iliyetambua hasara ya 400m wakati wa usajili wa Key.
1.(Reversal)Masahisho ya kosa la kijinga la Mhasibu Kilaza:
Dr. Provision of Loss 400m
Cr. Registration 400m
2.Kutambua Ongezeko la thamani ya Mchezaji sokoni (Recognition of Gain in Player’s Fair value)
Dr.Player’s Retention Rights 400 m
Cr.Gain in Player’s Fair value 400 m
Mwisho wa Mwaka hiyo Faida(Gain) inaonekana kwenye Other Comprehensive Income(OCI).
Daima Mbele Nyuma Mwiko.
Wako Mtiifu,
Article.