FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

Zinafyatuliwa Fataki hapa kwa Mkapa.

Kwa kifupi, Shangwe ni kubwa sana
 
Hawa watoto wa kizimkazi wameenda kwa mganga mmoja...leo kazi ipo.
 
Mpira Umeanza na Yanga ndio wameanzisha
 
Azam wameanza kucheza rafu mapema sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…