FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

Uto kazidiwa ball possession, hili ndo pira papatu papatu sasa
 
Yanga ni team ambavyo hua inachangamka kwenye match ambazo bahasha zimetembea
F7-MH1PXgAE6vhM.jpeg
 
Lile chezaji Jitu kubwa la Azam mbona halichezi. Lina kilo zaidi ya 150 uzito.
 
Sina imani na mbinu za kocha Gamondi hapo nyuma sijamuelewa kabisa
 
Timu ndio zinaingia sasa
Kukamilisha Dakika 45 zilizobaki.
 
Mechi ya Yanga vs Azam haijawahi kuwa mechi nyepesi. Ila kwenye benchi la Yanga leo sijui ni nani atakayeweza kubadili mchezo. Viatu vya Yao vimeshibdwa kuvaliwa vyema hadi sasa.
 
Back
Top Bottom