Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Aisee mpira una pressure zake mbovu sana [emoji23]Tulia kaka mkubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee mpira una pressure zake mbovu sana [emoji23]Tulia kaka mkubwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu ngoja mech iishe salama,atatuelezea mpaka GPA yakeMpira ukiisha tunahamia kwa mhasibu. Leo mpaka atuambie chuo alichosomea [emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe ndo unaumwa ulijua yanga itapoteza puuuiiiiiii kajambe ukoUnaumwa wewe si bure..........
Hamji hadi mfungeHalf american leo furaha tu. Nimefika best, wametubania kama kawaida yao, wakaachia. Watasema mbona 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Msiba utamalizikia paleOya wana kama kawaida twende kwenye uzi wetu wa kihesabu
Yule golini ni kolokoloni !!?Azam hawana golikipa, ni game ya pili hii nawatizama kipa anawaua, shirikisho aliwauwa na leo kawaua..
Game nzuri, pira linatembea timu zote, nguvu kubwa ya yanga ni pale kati, zouazoua,azizi, na maxi hawa ni midfielders, wanashiriki kuchezesha timu, wanafanya overload hapo kati
Mwenyekiti nakusubiri kwenye Uzi wetu wa Milioni 400!.. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Too late, zingatia maokotoHii Yanga tungekuwa na Mayele basi tungechukua CAFCL! What a loss!
Mechi ijayo kawadakieAzam hawana golikipa, ni game ya pili hii nawatizama kipa anawaua, shirikisho aliwauwa na leo kawaua..
Game nzuri, pira linatembea timu zote, nguvu kubwa ya yanga ni pale kati, zouazoua,azizi, na maxi hawa ni midfielders, wanashiriki kuchezesha timu, wanafanya overload hapo kati
Kama ni mahaba asingeruhusu goli la 3. Maana kuna foul pale imechezwa japo haijarudiwa tuone uzito wake.sema mwamuzi alikuwa na mahaba ya wazi na azam sema vile yanga anajua tu ndio kimemwokoa
Na ukicheza utakufa,ni bora uendelee na uganga wako au simba wakuchukue uwe mganga wao maana nyie walonzi
Tunakuja mkuu[emoji23][emoji23]
Kwani simba mademu??Mashabiki wa Simba wamevaa jezi ya Azam wanalia ha haaaa
Tukitoka tunaamia kule kwenye post ya Popoma aka chizi mchangamfu.Makolo yamejificha saivi tafikiri malaya aliyeona defender la polisi[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bado hamjasema
Tunaogopa presha za kujitakia mtani 😅😅😅😅😅Hamji hadi mfunge