SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Azam apiganie nafasi ya tatu huku juu awaachie wenye mpira wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hai ravyu yu tuuu...nyuma mwikoAi lavu yu
Yanga girls are smart...Always 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
MmefurahiiiAziz ki vs AZAM
Kwa wasio ujua huu hapa... [emoji116][emoji116][emoji116]Sasa tuhamie kwenye ule uzi wetu
Inabidi nikujibu tu, lakini mara nyingi siletagi upenzi kwenye uhalisia, mimi na mashabiki maandazi ni vitu viwili tofauti.Waliomsajili wanaona yule ndio Bora ndio maana wamemsajili ungeenda majaribio kiongozi usajiliwe....pole lakini
Asante dear Proved leo furaha tupu.Hongereni aisee.
Ni mdogo wako usimkandie kihivyo unajukumu la kukusanya michango na kumsaidia.Popoma kama popoma
Kwani bob wewe ni mwananchiFull Time.
Azam wamenuna vibaya mno
Ukiona Yanga anaongoza maana yake Simba yupo kwa majukumu ya AFL na hajacheza.Kuteni mnajifariji napo kidogo hapo kwa top kabla mwenye nafasi yake hajarudiNdio basi tena, michepuko mkalale mwenye mke wake kaja.
Back to the top!
Describe..
Niweke screenshots zako kabla ya mechi na muda Azam anaongoza ? mbona Makolo hamuishiwi kutapatapa.Nilitaka kushangaa, Azam ashinde.?