Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mpoleeeee mpaka unakera. Siku nikute mtu anakughasi mbona kitawaka humu? 😁Hizo kazi chafu tuachie sisi shem ake...
PigaPiga mbwa hizo
Umeitendea haki kazi yako kwa leo, hata wale wa kipugila wamefaidika kwa bandiko lako, kongole sana.Kutoka kwa Mkapa hatuna la ziada.
Acha hizi ngonjera classmate 😁Ukiona Utopolo anaongoza ligi ujue simba ajacheza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Na bado hujasemaaaaa
Ni kweliYale yale ya Ihefu
Muda wa kushughulika bado mtani...uzuri mimi natimiza majukumu yangu ipasavyo ukiniona huku ujue mr hayupo maeneo haya...Utoe haki ya ndoa acha stress za Yanga😂
Hebu chema tenaFull time, yanga 1 - azam 3, nipo nmekaa palee, sijawah tabiri vibaya
Azizi K 3 - 2 AzamAziz ki vs AZAM
Kama uko Dar sema mkuu...Yanga Leo utanifanya nilewe mpaka ni bebwe kama kuna mtu anataka pombe aninpm
Hilo sina shaka nalo but Yanga akishinda hisia zako nazo hukushuka😂😂Muda wa kushughulika bado mtani...uzuri mimi natimiza majukumu yangu ipasavyo ukiniona huku ujue mr hayupo maeneo haya...
Nadhani tutafikia kwa Yanga Sc.Simba tukirudi tunacheza na nani kwenye ligi ?
Alie umia zaidi ni Paka shume, niamini mimi.Full Time.
Azam wamenuna vibaya mno
Wazanzibar wa fei totoMwamba tayari karudi kweli simba wachawi walimroga,ila yule mganga wao kafa toka msimu uanze
Yaniiii ulijuajeeee?? Ila kwa sasa sio sana Simba iko level za juuu mnoo kupata stress za Yanga sio afya..kwa sasa tuwaache mshinde shinde kidogo kabla Kibu hajawafumua kidonda..Hilo sina shaka nalo but Yanga akishinda hisia zako nazo hukushuka😂😂
Sasa twende tukamzomee Mhasibu uchwara mpaka akome kama takwimu zake za Kibu Denis Vs Fiston Mayele.Kwa wasio ujua huu hapa... [emoji116][emoji116][emoji116]
Kihasibu: Hasara ya Milioni 400 usajili wa Aziz Ki kwenda Yanga
Uzuri wa huu mchezo unafanyika hadharani kila mtu anaona, nani kifaa nani garasa. Aziz Ki ni mbovu, hana thanani ya milioni 400. Kifupi Yanga wameingia hasara ya milioni 400, yale ni manunuzi ya mchezaji yasiyo na tija. Hii hasara inatakiwa kuonekana kwenye vitabu vya Yanga mwisho wa mwaka kama...www.jamiiforums.com