FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

Timu imecheza michezo zaidi ya saba mpaka sasa na siku zote Yanga kadri dakika zinavyozidi kwenda ndivyo wanakuwa hatari zaidi kutaka jambo lao lakini mtu anakwambia Yanga inakata moto. Sawa mchambuzi je baada ya kukata moto, Azam kaondoka na point ngapi leo?
Azam hamna timu hapo hiyo ipo wazi
 
Timu imecheza michezo zaidi ya saba mpaka sasa na siku zote Yanga kadri dakika zinavyozidi kwenda ndivyo wanakuwa hatari zaidi kutaka jambo lao lakini mtu anakwambia Yanga inakata moto. Sawa mchambuzi je baada ya kukata moto, Azam kaondoka na point ngapi leo?
Timu iko timamu both physically na kisaikolojia.
 
Asante dear Proved leo furaha tupu.
Walikua wanabutuabutua tu hawana maajab yoyote
JamiiForums790734876.jpg
 
Back
Top Bottom