FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

Yanga huwa na mbwembwe sana dakika za mwanzoni ila hawachelewi kukata moto [emoji23]
Timu imecheza michezo zaidi ya saba mpaka sasa na siku zote Yanga kadri dakika zinavyozidi kwenda ndivyo wanakuwa hatari zaidi kutaka jambo lao lakini mtu anakwambia Yanga inakata moto. Sawa mchambuzi je baada ya kukata moto, Azam kaondoka na point ngapi leo?
 
Back
Top Bottom