FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

FT: Yanga SC 3-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 23.10.2023

Leo kwa mara ya kwanza katika miaka ya hivi karibuni nimeona Azam at least wakijaribu kutaka kupata ushindi dhidi ya Yanga maana Yanga wamekuwa wanajipigia tu kama kumsukuma mlevi.
 
Azam amezoea kulambwa sana na Yanga .
Hivi kina kipindi hajalambwa kweli?
Match Day.

Young African Sports Club Vs Azam Football Club.

Muda 12:30 Jioni.

Benjamin Mkapa Stadium.

Ni game kali, yenye kutaka ushindi.

Je, Azam atakubali kuendelea kuwa kibonde wa Yanga?

Tukutane kwa Mkapa.

Daima Mbele, Nyuma Mwiko.

All the Best Yanga.
View attachment 2790412View attachment 2790413

Mchezo umeanza
Yanga wanamiliki mpira muda mwingi
Gooooooi
9' Azizi Ki anaipatia Yanga goli
19' Gooooooio
Sillah anasawazisha upande wa Azam FC kwa shuti kali
30' Yanga wanafanya mashambulizi mawili makali lakini Azam wanaoko hatari
40' Azam wanamiliki mpira muda mwingi
44' Fei anachezewa faulo karibu na lango la Yanga
45' Zimeongezwa dakika 2 za nyongeza

MAPUMZIKO

Kipindi cha pili kimeanza
50' Azam wanapiga pasi nyingi na kumiliki mpira
60' Azam wanapata penati
61' Gooooooooo
Dube anafunga goli la pili kwa Azam
68' Goooooooo
Azizi Ki anafunga kwa shuti kali la faulo
71' Goooooooo
Azizi Ki anafunga goli la tatu
90' Zinaongeswa dakika 4 za nyongeza
 
Back
Top Bottom