FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Sasa hapa ndio ile kauli ya maajabu ya soka.

Ila katika data za kawaida kabisa nafasi kubwa ya ushindi anapewa Al Ahly
hata mm ntakuambia al ahli anashinda lkn mpira hauna mwenyew
 
Hiv hii quality ya TBC ni wao mitambo yao ama cameras za uwanjan
 
Sasa hapa ndio ile kauli ya maajabu ya soka.

Ila katika data za kawaida kabisa nafasi kubwa ya ushindi anapewa Al Ahly
Ni kawaida Ahly ni timu kubwa Africa, hamna timu Tz itakayocheza nayo halafu hiyo timu ikapewa nafasi kubwa ya ushindi.
 
🀸🏽🀸🏽🀸🏽🀸🏽🀸🏽 zingine zinakuja rafiki.
Hilo hapooo rafikiii Ki Aziz πŸ’ͺπŸ’ͺ🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸
 
Kumekuchaaaa tenaaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…