FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Sasa hapa ndio ile kauli ya maajabu ya soka.

Ila katika data za kawaida kabisa nafasi kubwa ya ushindi anapewa Al Ahly
hata mm ntakuambia al ahli anashinda lkn mpira hauna mwenyew
 
Sasa hapa ndio ile kauli ya maajabu ya soka.

Ila katika data za kawaida kabisa nafasi kubwa ya ushindi anapewa Al Ahly
Ni kawaida Ahly ni timu kubwa Africa, hamna timu Tz itakayocheza nayo halafu hiyo timu ikapewa nafasi kubwa ya ushindi.
 
Vile Simba hawaamini wanachokiona.
IMG-20231210-WA0009.jpg

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom