Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kolo unaumiaAisee hii Yanga imekuja kunishangaza sana
mod wana wivuModssssss updatessssss
Acha wivu
inatafutwa rekodi hapaHizi Goal.za mchongo.haiwezekani Goal mbili zifungwe kwa dakika 4
Moderator ni simba wanatamani kusema CR wabovu ila wakikumbuka mkono wa nyani, hawabadilishi matokeo.Admin aka Moderator wengine tuko mbali na tv au radio. Tusaidie ubao.
Kwa saizi siwezi kusema chochote maana mpaka sasa mahesabu yangu yamekuja ndivyo sivyo.La 3 hilo. Yanga wana hasira na motisha ya hali ya juu. Na wakifunga 4 na kuendelea nafasi ya kupita ni kubwa.
Yaan mtasema yotekipindi cha pili wametia majini full mkoko