FT: Yanga SC 4-0 CR Belouizdad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 24.02.2024 | Yanga yafuzu Robo Fainali

Naomba kujua, hivi kwanini game za Simba hakuna maajabu kama kafa sisimizi tu ila akicheza Yanga kuna vibe kali sana
Yani Taifa lote linaamka, hiv kuna siri gani kati ya Yanga na hii nchi yetu?
 
Utopwinyox washamba washamba tu
 
Naomba kujua, hivi kwanini game za Simba hakuna maajabu kama kafa sisimizi tu ila akicheza Yanga kuna vibe kali sana
Yani Taifa lote linaamka, hiv kuna siri gani kati ya Yanga na hii nchi yetu?
πŸ˜‚πŸ˜‚ ubunifu kwao ni zeroo.
 
Tulianza kuchomekea, tukavaa vinjunga, zikaja saruni za Bacca leo tuko na bleach zetu. πŸ˜‚πŸ˜‚

Hatuna baya zaidi ya kuacha gumzo kila kona. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…