Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
- #81
Kaka hii ni Jioni ya Leo baada ya ushindi wa goli nne dhidi ya belouizdad 😂😁🤣🤣Hii ni lini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka hii ni Jioni ya Leo baada ya ushindi wa goli nne dhidi ya belouizdad 😂😁🤣🤣Hii ni lini
11 PacomeBaadae nisisikie Belouizdad ni kibonde [emoji2957]
Kama unajiamini Weka dau kwa ushindi wowote. Moderator wasimamie showKaka hii ni Jioni ya Leo baada ya ushindi wa goli nne dhidi ya belouizdad 😂😁🤣🤣
Msiseme sikiwaambia kuwa mwarabu anapenda bleach,ifadi ya bleach ndioo idadi ya magoli mtakayofungwa11 Pacome
10 Aziz K
8 Nzize
9 Musonda
4 Baka
5 Job
6 Aucho
7 Max
3 Romalisa
2 Yaoyao
1 Diara
PacomeMsiseme sikiwaambia kuwa mwarabu anapenda bleach,ifadi ya bleach ndioo idadi ya magoli mtakayofungwa
Tanzania haichezi leo ofsa
Yanga ndo nembo ya Tanzania.. ndo maana hata bendera ya Taifa ilikopi rangi za Yanga Kijani, Njano na NyeusiTanzania haichezi leo ofsa
Yanga ni nembo ya CCMYanga ndo nembo ya Tanzania.. ndo maana hata bendera ya Taifa ilikopi rangi za Yanga Kijani, Njano na Nyeusi
HaswaaaaaaKila la kheri chama kubwa sana....
CCM na Tanzania vimeikuta Yanga so ilikua lazima waige vitu vizuri toka Kwa Timu kubwaYanga ni nembo ya CCM
HeheheMkishinda hii mechi ya waarabu mje mniombe buku nimekaa paleeee
Yaani mnakandwa kwa Lupaso na mnasugulia Misri