DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Yanga wakiangalia msimamo wa champions league wanaishia kusonya...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unawashwa bleach wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamna hata amsha amsha, kulikoniii?
Labda mchezeshe majini yenu wafuga majini wakubwa nyie
pamoja sana mkuu, na sisi tuliopo mikoani tutahakikisha tunawakera vilivyo hawa wafuasi wa amber rutty kwenye mabanda umiza.Nitakuwa bench la mbele kabisa karibu na kideo. Uto wakipigwa niwaone vizuri wakipauka na bleach zao
Wanategemea zali. Huwezi kupata zali siku zoteUtopolo haina uwezo wa kumfunga Belouizdad
Atakitahidi mwiko usiingie nyuma leo anaweza akashinda, msiwe na wasi wasi mwanayangaMkuu unisamehe, mimi siwezi kukutakia hata droo tu. Upigweeeeeeee
Baadae nisisikie Belouizdad ni kibonde [emoji2957]Utopolo haina uwezo wa kumfunga Belouizdad
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimemuona Kamwe kapaka bleach, kumbe ndio amefanana na Zuchu namna ile...
Nyie wengine vipi...hebu wekeni picha zenu hapa tuwaone..
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnawajuaa waarabu lakini? Nyie mtaita maji mma.Bado Tupo Salon [emoji23][emoji23][emoji23]
Kila La Kheri Dar Young Africans
Kitaaluma zaidi🤓🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐔𝐏🔰
🏆 #CAFCL
⚽️ Young Africans SC🆚CR Belouizdad
📆 24.02.2024
🏟 Benjamin Mkapa
🕖 1:00 Usiku
View attachment 2914180
Hii inafaa kuwa wallpaper
Hii ni lini