Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Manara anadili na warembo tu siku hizi, mambo ya usemaji keshayafuta kabisa πManara hana chake tena pale. Akimaliza adhabu aendelee tu na mambo mengine.
Anawakilisha wazee wazamani wasiotaka kuachwa nyuma. πManara anadili na warembo tu siku hizi, mambo ya usemaji keshayafuta kabisa π
Baraka za MUNGU na majini' ni maji na mafuta.Baraka za Mungu zi juu yetu.
Daima mbele, Nyuma Mwiko.
ππ na Yeye anaomba nimshikilie mambo yatakapokuwa yamemzidia πMsalimie sana ujumbe wangu kwake akushikilie ile saa mwarabu ameshapigika na wewe huamini unachokiona. π
hata wewe?All the best kwa Yanga, piga 2-0 haoπ
Yes Yanga chama languπhata wewe?
Kwa leo hamna jambo litakalo mzidia we mwambie arelax leo tunamchinja mwarabu.ππ na Yeye anaomba nimshikilie mambo yatakapokuwa yamemzidia π
Aisee.Yes Yanga chama languπ
πππ muda ni mwamuzi mzuri sanaKwa leo hamna jambo litakalo mzidia we mwambie arelax leo tunamchinja mwarabu.
Kabeeesa. ππππ muda ni mwamuzi mzuri sana
Naona Mayele wenu, majini yamepungua, anaanza kikosi cha kwanza leo πKabeeesa. π
Mwehu huyo.Naona Mayele wenu, majini yamepungua, anaanza kikosi cha kwanza leo π
Mazembe vs Pyramid
Ashakuwa mwehu tena ππ kweli mnajua kulogaMwehu huyo.
Mtani leo majini yatacheza na ndugu zao waarabu,msitegemee msaadaHehehe
Hahahaaa. Nyie ndo mnampaisha ujue.Ashakuwa mwehu tena ππ kweli mnajua kuloga
Koh koh koh. Hebu huko mtani. πMtani leo majini yatacheza na ndugu zao waarabu,msitegemee msaada
Naona amefunga kitunguu kichwani!!Hahahaaa. Nyie ndo mnampaisha ujue.
Majini yanafanya kazi, Mayele kaumia Dakika ya 8 tu.
Arudi tu kuja kuomba msamaha Uto wasiendelee kumloga