Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Manara anadili na warembo tu siku hizi, mambo ya usemaji keshayafuta kabisa 😂Manara hana chake tena pale. Akimaliza adhabu aendelee tu na mambo mengine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manara anadili na warembo tu siku hizi, mambo ya usemaji keshayafuta kabisa 😂Manara hana chake tena pale. Akimaliza adhabu aendelee tu na mambo mengine.
Anawakilisha wazee wazamani wasiotaka kuachwa nyuma. 😂Manara anadili na warembo tu siku hizi, mambo ya usemaji keshayafuta kabisa 😂
Baraka za MUNGU na majini' ni maji na mafuta.Baraka za Mungu zi juu yetu.
Daima mbele, Nyuma Mwiko.
😂😂 na Yeye anaomba nimshikilie mambo yatakapokuwa yamemzidia 😂Msalimie sana ujumbe wangu kwake akushikilie ile saa mwarabu ameshapigika na wewe huamini unachokiona. 😂
hata wewe?All the best kwa Yanga, piga 2-0 hao😀
Yes Yanga chama langu😀hata wewe?
Kwa leo hamna jambo litakalo mzidia we mwambie arelax leo tunamchinja mwarabu.😂😂 na Yeye anaomba nimshikilie mambo yatakapokuwa yamemzidia 😂
Aisee.Yes Yanga chama langu😀
😂😂😂 muda ni mwamuzi mzuri sanaKwa leo hamna jambo litakalo mzidia we mwambie arelax leo tunamchinja mwarabu.
Kabeeesa. 😂😂😂😂 muda ni mwamuzi mzuri sana
Naona Mayele wenu, majini yamepungua, anaanza kikosi cha kwanza leo 😂Kabeeesa. 😂
Mwehu huyo.Naona Mayele wenu, majini yamepungua, anaanza kikosi cha kwanza leo 😂
Mazembe vs Pyramid
Ashakuwa mwehu tena 😂😂 kweli mnajua kulogaMwehu huyo.
Mtani leo majini yatacheza na ndugu zao waarabu,msitegemee msaadaHehehe
Hahahaaa. Nyie ndo mnampaisha ujue.Ashakuwa mwehu tena 😂😂 kweli mnajua kuloga
Koh koh koh. Hebu huko mtani. 😂Mtani leo majini yatacheza na ndugu zao waarabu,msitegemee msaada
Naona amefunga kitunguu kichwani!!Hahahaaa. Nyie ndo mnampaisha ujue.
Majini yanafanya kazi, Mayele kaumia Dakika ya 8 tu.
Arudi tu kuja kuomba msamaha Uto wasiendelee kumloga