Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Wananchi tuendelee kufurahi tu lakini msimu ujao tuna kazi kubwa sana ya kuwabakisha nyota wetu wengi sana wa kikosi cha kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kuna kitu wewe unaweza?Kama unajiamini Weka dau kwa ushindi wowote. Moderator wasimamie show
kolo's kila wakikumbuka wana match na Yanga kwenye ligi wanakua wadogo kama piritonPole Mtani ndo ujue kila muosha uoshwa. Hapo wanakusubiria kwa hamu.
Mie naombea game iende ndivyo sivyo ili wakusuuze vizuri. 🤸🏽🤸🏽
Hata simba wamenuna sanaWA Algeria wamechukia. Hawa Jamaa nahisi watapigwa Mawe. Labda watue usiku.
Km wepiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wananchi tuendelee kufurahi tu lakini msimu ujao tuna kazi kubwa sana ya kuwabakisha nyota wetu wengi sana wa kikosi cha kwanza.
Daaah! bilashaka umeonjoi mnoooo,ondoa shaka,Tanga tutafika mbali.Nilikuwa Uwanjani
Wao wanaongea fact usajili WA gharama, mshahara mikubwa lakini mwaka WA 4 mfukulizo wanaishia group stage. Hilo la Simba ni ushabiki Tu.Hata simba wamenuna sana
Mechi ya simba bado ngumu maana hata Galaxy pia ana nafasi, akishinda na kule Wydad akapigwa anafuzu.Ndo nakoenda kupunguzia machungu huko maana dah nimeumia sana..
Halafu utashangaa Yanga anapita halafu tunabaki sisi maboya imeniuma sana
DiarraKm wepiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sisi yoyote aje lakini atapigwa nyingi sana akijichanganya mtu kazi anayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wenye nafas zao hapo na wenyeji wanakuja, nyie wageni acheni wengee bas.
Alinikimbia nilimwambie aweke euro €50 hakawa anaogopa akakimbia 😁🤣😂muhasibu uliweka bei gani